Ufafanuzi wa uanachama katika Kiswahili

uanachama

nominoPlural uanachama

  • 1

    hali ya kuwemo katika chama au klabu fulani.

Matamshi

uanachama

/uwanat∫ama/