Ufafanuzi wa uanagenzi katika Kiswahili

uanagenzi

nomino

  • 1

    hali ya kufundishwa kazi.

Matamshi

uanagenzi

/uwanagɛnzi/