Ufafanuzi wa uanahewa katika Kiswahili

uanahewa

nominoPlural uanahewa

  • 1

    elimu ya uendeshaji vyombo vya anga k.v. eropleni.

  • 2

    kazi ya kuendesha vyombo vya anga.

Asili

Kar

Matamshi

uanahewa

/uwanahɛwa/