Ufafanuzi wa uanamaji katika Kiswahili

uanamaji

nomino

  • 1

    elimu ya kuwa mwanamaji.

  • 2

    kazi ya kuwa mwanamaji.

    ubaharia, uanapwa

Matamshi

uanamaji

/uwanamaji/