Ufafanuzi wa uananchi katika Kiswahili

uananchi

nomino

  • 1

    uenyeji wa kuzaliwa au wa kujinasibisha na nchi fulani.

Matamshi

uananchi

/uwanant∫i/