Ufafanuzi wa uanasheria katika Kiswahili

uanasheria

nomino

  • 1

    elimu ya sheria.

  • 2

    kazi inayohusu masuala ya sheria.

Asili

Kar

Matamshi

uanasheria

/uwana∫ɛrija/