Ufafanuzi wa uanauke katika Kiswahili

uanauke

nominoPlural uanauke

  • 1

    hali ya kuweza kutenda mambo ya kike au tabia zinazolingana na za kike.

Matamshi

uanauke

/uwanawukɛ/