Ufafanuzi wa uandaaji katika Kiswahili

uandaaji

nominoPlural uandaaji

  • 1

    namna au taratibu za upangaji au utayarishaji wa mambo au vitu k.v. chakula.

    uandazi

Matamshi

uandaaji

/uwanda:ʄi/