Ufafanuzi wa uandikaji katika Kiswahili

uandikaji

nominoPlural uandikaji

  • 1

    namna ya kuandika.

Matamshi

uandikaji

/uwandikaʄi/