Ufafanuzi wa uandikishaji katika Kiswahili

uandikishaji

nominoPlural uandikishaji

  • 1

    tendo la kuweka mtu au kitu katika orodha au idadi kwa kurekodi maelezo yake binafsi.

    ‘Zoezi la uandikishaji wapiga kura ni muhimu katika uchaguzi mkuu’
    usajili

Matamshi

uandikishaji

/uwandiki∫aʄi/