Ufafanuzi wa uangalizi katika Kiswahili

uangalizi

nominoPlural uangalizi

  • 1

    namna ya utoaji huduma za kumtimizia mtu haja k.v. mzee au mtoto mdogo.

  • 2

    hali ya kuweka mtu au kitu katika hifadhi au katika uongozi.

    ‘Vitu vilivyopatikana viko chini ya uangalizi wa polisi’

Matamshi

uangalizi

/uwangalizi/