Ufafanuzi wa uangavu katika Kiswahili

uangavu

nominoPlural uangavu

  • 1

    hali ya weupe au usafi, agh. wa maji.

  • 2

    hali ya kuwa na akili nzuri.

Asili

Kar

Matamshi

uangavu

/uwangavu/