Ufafanuzi wa uasi katika Kiswahili

uasi

nominoPlural uasi

  • 1

    tendo la uvunjaji wa kanuni, sheria au amri.

    uhalifu, halafa

Asili

Kar

Matamshi

uasi

/uwasi/