Ufafanuzi wa ubabe katika Kiswahili

ubabe

nominoPlural ubabe

  • 1

    hali ya kutumia mabavu wakati wa kufanya jambo fulani.

Matamshi

ubabe

/ubabɛ/