Ufafanuzi wa ubadilishanaji katika Kiswahili

ubadilishanaji

nominoPlural ubadilishanaji

  • 1

    hali ya kubadilishana vitu au nafasi.

    ‘Ubadilishanaji wa fedha za kigeni’

Matamshi

ubadilishanaji

/ubadili∫anaʄi/