Ufafanuzi wa ubale katika Kiswahili

ubale

nomino

  • 1

    kipande k.v. cha muhogo, ndizi au kiazi kilicholengwa.

  • 2

    chane za miyaa za katikati.

Matamshi

ubale

/ubalÉ›/