Ufafanuzi wa ubalighishaji katika Kiswahili

ubalighishaji

nominoPlural ubalighishaji

  • 1

    ufikishaji k.v. wa habari au salamu.

Asili

Kar

Matamshi

ubalighishaji

/ubaliɚi∫aʄi/