Definition of ubalozi in Swahili

ubalozi

noun

  • 1

    kazi ya balozi.

  • 2

    majengo ya ofisi za balozi na walio chini yake.

Pronunciation

ubalozi

/ubalɔzi/