Ufafanuzi wa ubambikaji katika Kiswahili

ubambikaji

nominoPlural ubambikaji

  • 1

    namna ya kuroweka.

  • 2

    hali ya kusingizia jambo.

Matamshi

ubambikaji

/ubambikaʄi/