Ufafanuzi wa ubango katika Kiswahili

ubango

nominoPlural bango

  • 1

    ganda la popoo.

  • 2

    nyasi zinazofanana na matete.

Matamshi

ubango

/ubangɔ/