Ufafanuzi wa ubaradhuli katika Kiswahili

ubaradhuli

nominoPlural ubaradhuli

  • 1

    tabia ya kutokuwa na adabu au heshima kwa watu.

Asili

Kar

Matamshi

ubaradhuli

/ubaraðuli/