Ufafanuzi wa ubaridi katika Kiswahili

ubaridi

nomino

  • 1

    hali ya kuzizima; hali ya kuwa baridi.

Matamshi

ubaridi

/ubaridi/