Ufafanuzi msingi wa ubati katika Kiswahili

: ubati1ubati2

ubati1

nominoPlural ubati, Plural mbati

  • 1

    sehemu ndogo katika nyumba.

  • 2

    chumba kidogo, agh. chembamba, anachoishi mtu.

Matamshi

ubati

/ubati/

Ufafanuzi msingi wa ubati katika Kiswahili

: ubati1ubati2

ubati2

nominoPlural ubati, Plural mbati

  • 1

    fimbo nyembamba ya kuchapia k.v. watoto.

Matamshi

ubati

/ubati/