Definition of ubavu in Swahili

ubavu

noun

  • 1

    mfupa mwembamba unaoshikana na uti wa mgongo na kuzunguka mpaka kwenye kidari.

  • 2

    upande mmoja wa kitu.

    ‘Mashua imelala ubavu’
    ‘Mnara wenyewe upo ubavuni mwa nyumba yangu’

Pronunciation

ubavu

/ubavu/