Ufafanuzi wa ubeberu katika Kiswahili

ubeberu

nominoPlural ubeberu

  • 1

    ubepari uliokomaa na kuvuka mipaka ya nchi yake na kuingia nchi nyingine kwa madhumuni ya kuunyonya uchumi wa nchi hizo.

Matamshi

ubeberu

/ubɛbɛru/