Ufafanuzi wa ubembe katika Kiswahili

ubembe

nominoPlural ubembe

  • 1

    tabia ya kupenda kudadisi na kujua habari za watu.

  • 2

    uwezo wa kuvuta mtu kwa werevu.

    utongozaji

Matamshi

ubembe

/ubɛmbɛ/