Ufafanuzi msingi wa ubia katika Kiswahili

: ubia1ubia2

ubia1

nominoPlural mbia, Plural ubia

  • 1

    kikaango kidogo maalumu cha kuchomea vitumbua.

Matamshi

ubia

/ubija/

Ufafanuzi msingi wa ubia katika Kiswahili

: ubia1ubia2

ubia2

nominoPlural mbia, Plural ubia

  • 1

    ushirikiano wa watu wawili au makundi mawili au zaidi, wa kuendesha shughuli kwa pamoja agh. za uzalishaji mali au biashara.

    ‘Kampuni yangu imeingia ubia na kampuni ya nje’

Matamshi

ubia

/ubija/