Ufafanuzi wa ubinafsi katika Kiswahili

ubinafsi

nominoPlural ubinafsi

  • 1

    hali ya mtu kujifikiria na kujipenda yeye mwenyewe.

    umimi

Asili

Kar

Matamshi

ubinafsi

/ubinafsi/