Ufafanuzi wa ubinafsishaji katika Kiswahili

ubinafsishaji

nomino

  • 1

    hali ya kufanya mali ya umma kuwa ya binafsi.

Asili

Kar

Matamshi

ubinafsishaji

/ubinafsi∫aʄi/