Ufafanuzi wa ubingwa katika Kiswahili

ubingwa

nominoPlural ubingwa

  • 1

    kuwa na ujuzi mkubwa wa jambo au elimu fulani; ustadi mkubwa.

    ufarisi, ufundi

Matamshi

ubingwa

/ubingwa/