Ufafanuzi wa uboho katika Kiswahili

uboho

nomino

  • 1

    rojorojo iliyoko katika mifupa.

    bongo

Matamshi

uboho

/ubɔhɔ/