Ufafanuzi wa ubovu katika Kiswahili

ubovu

nominoPlural ubovu

  • 1

    hali ya kutofaa tena kwa sababu ya kuharibika au kuoza.

    ‘Gari hili limeingia ubovu’
    ‘Tunda hili lina ubovu’

Matamshi

ubovu

/ubɔvu/