Ufafanuzi msingi wa ubukuzi katika Kiswahili

: ubukuzi1ubukuzi2

ubukuzi1

nominoPlural ubukuzi

  • 1

    tabia ya kusoma sana wakati mtihani unapokaribia.

Matamshi

ubukuzi

/ubukuzi/

Ufafanuzi msingi wa ubukuzi katika Kiswahili

: ubukuzi1ubukuzi2

ubukuzi2

nominoPlural ubukuzi

  • 1

    ugunduzi wa jambo lililofichika.

Matamshi

ubukuzi

/ubukuzi/