Ufafanuzi wa ubwabwa katika Kiswahili

ubwabwa

nominoPlural ubwabwa

  • 1

    wali wa majimaji na laini unaopikwa kwa ajili ya mtoto au mgonjwa.

    mashendea

  • 2

    uji wa mchele unaopikwa kwa ajili ya mtoto mdogo.

Matamshi

ubwabwa

/ubwabwa/