Ufafanuzi wa ubwana katika Kiswahili

ubwana

nominoPlural ubwana

  • 1

    hali ya kupenda kujivuna, agh. kwa ajili ya pato au cheo.

Matamshi

ubwana

/ubwana/