Ufafanuzi wa uchachu katika Kiswahili

uchachu

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na ukali unaosababishwa na kuchacha kwa kitu.

  • 2

    ugwadu

Matamshi

uchachu

/utʃatʃu/