Ufafanuzi wa uchaga katika Kiswahili

uchaga, kichaga

nomino

  • 1

    kichanja kinachotumiwa kwa kuhifadhia au kuanikia vitu.

  • 2

    kichanja kinachotumiwa kuhifadhia vitu.

    utaa