Ufafanuzi wa uchago katika Kiswahili

uchago

nomino

  • 1

    upande wa kitanda ambapo mtu huweka kichwa.

    mchago

Matamshi

uchago

/utʃagɔ/