Ufafanuzi msingi wa uchakavu katika Kiswahili

: uchakavu1uchakavu2

uchakavu1

nominoPlural uchakavu

  • 1

    hali ya kuzeeka au kuharibika kwa kitu.

    ukuukuu

Matamshi

uchakavu

/utʃakavu/

Ufafanuzi msingi wa uchakavu katika Kiswahili

: uchakavu1uchakavu2

uchakavu2

nominoPlural uchakavu

  • 1

    mchango wa kuendeshea kikao.

Matamshi

uchakavu

/utʃakavu/