Ufafanuzi wa uchakubimbi katika Kiswahili

uchakubimbi

nomino

  • 1

    tabia ya kudodosa mambo ya watu na kuyapeleka kwa wengine.

Matamshi

uchakubimbi

/utʃakubimbi/