Ufafanuzi wa uchale katika Kiswahili

uchale

nominoPlural uchale

  • 1

    tabia ya kufanya vitendo vya kuchekesha.

Matamshi

uchale

/utʃalɛ/