Ufafanuzi wa uchapuzi katika Kiswahili

uchapuzi

nomino

  • 1

    hali ya uharakishaji wa jambo.

Matamshi

uchapuzi

/utʃapuzi/