Ufafanuzi wa uchikichi katika Kiswahili

uchikichi

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    urembo unaochongwa katika sehemu ya omo ya jahazi.

Matamshi

uchikichi

/utʃikitʃi/