Ufafanuzi wa uchimvi katika Kiswahili

uchimvi

nomino

  • 1

    jambo ambalo kutokea kwake huwa ni ishara ya janga.

    kisirani

Matamshi

uchimvi

/utʃimvi/