Ufafanuzi wa uchochole katika Kiswahili

uchochole

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na uwezo wa kiuchumi k.v. pesa.

    ukata, ufukara

Matamshi

uchochole

/utʃɔtʃɔlɛ/