Ufafanuzi wa uchokozi katika Kiswahili

uchokozi

nominoPlural uchokozi

  • 1

    tabia ya kumtafuta mtu shari.

    ugobo, ushari, tadi

Matamshi

uchokozi

/utʃɔkɔzi/