Ufafanuzi wa uchongezi katika Kiswahili

uchongezi

nominoPlural uchongezi

  • 1

    maneno au vitendo vya kutia mwingine hatiani kwa kufitini.

    uchongeaji

Matamshi

uchongezi

/utʃɔngɛzi/