Ufafanuzi wa uchoyo katika Kiswahili

uchoyo

nominoPlural uchoyo

  • 1

    hali ya kutopenda kutoa kitu hata kama aliyenacho hakihitaji wala hakimnufaishi.

    hiana

Matamshi

uchoyo

/utʃɔjɔ/