Ufafanuzi wa uchumi katika Kiswahili

uchumi

nominoPlural uchumi

 • 1

  mali iliyopatikana kutokana na amali za nchi au watu.

  iktisadi

 • 2

  mfumo wa mapato na matumizi ya watu katika nchi.

 • 3

  taaluma ya mapato na matumizi ya watu.

Matamshi

uchumi

/utʃumi/