Ufafanuzi msingi wa uchungaji katika Kiswahili

: uchungaji1uchungaji2

uchungaji1

nominoPlural uchungaji

  • 1

    tendo la kupeleka wanyama malishoni, kuwalinda na kuwarudisha.

Matamshi

uchungaji

/utʃungaʄi/

Ufafanuzi msingi wa uchungaji katika Kiswahili

: uchungaji1uchungaji2

uchungaji2

nominoPlural uchungaji

  • 1

    kazi ya kiongozi katika madhehebu fulani ya Ukristo inayompa uwezo wa k.v. kubatiza, kufungisha ndoa au kulisha sakramenti.

    ukasisi

Matamshi

uchungaji

/utʃungaʄi/